Exodus 37:1

Sanduku La Agano

(Kutoka 25:10-22)

1 aBezaleli akatengeneza Sanduku la mbao za mshita: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu,
Dhiraa moja na nusu ni sawa na mita 1.13.
upana wake dhiraa moja na nusu, na kimo chake dhiraa moja na nusu.
Copyright information for SwhKC